Lipa Bili | Tigo Tanzania

 Lipa Bili

Kufanya Malipo na Tigo Pesa ni Rahisi

Lipia muswada yako mbalimbali kutoka sehemu tofauti kwa wakati wowote na Tigo Pesa. Kama una Smartphone tumia app ya simu ya Tigo Pesa kwa kasi na uaminifu zaidi. Kama hauna Smartphone, tumia njia rahisi zifuatazo.

1.       Piga *150*01# kupata huduma za Tigo Pesa.

2.       Chagua namba 4 - Lipa Bili.

3.       Chagua namba 3 - Ingiza Namba ya Biashara.

4.       Ingiza Namba ya Kumbukumbu.

5.       Ingiza kiasi unachotaka kulipa

6.       Ingiza namba yako ya siri na thibitisha muamala wako

Kama wewe ni mfanyabiashara na unataka kupokea malipo kwa Tigo Pesa, tafadhali sajili biashara yako.

Kampuni Kuu za Malipo ya Tigo Pesa

Umeme

Umeme

Luku

Leseni ya Barabarani

Leseni ya Barabarani

TRA

TV

TV

DSTV, Azam TV, Startimes,

ZUKU, Continental, Ting

Bili ya Maji

Bili ya Maji

Dawasco, Auwsa, Iruwasa,

Tuwasa, Shuwasa, Tanga Uwasa

Usafiri wa Ndege

Usafiri wa Ndege

Fastjet, Precision Air,

Kenya Airways, Auric Air

Huduma za Serikali

Huduma za Serikali

TPF - Police Fines,

RITA, Municipal Taxes

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo