Nyingine | Tigo Tanzania

 Nyingine

Sauti ya Maajabu

Sauti ya Maajabu inafurahisha sana. Tania familia na marafiki zako kwa kubadilisha sauti yako ifanane na ya mtu mwingine, au badilisha mwonekano wako na sauti zinazokuzunguka kuwa za kufurahisha.

Gharama zinazojumuisha VAT – Sauti za Maajabu

Simu za Tigo kwenda Tigo = TZS 1 kwa sekunde.

Simu za Tigo kwenda Mitandao mingine = TZS 2 kwa sekunde.

Piga 0 901 656 564 na ufuate maelekezo ya jinsi ya kununua.

 

Tigo Hadithi

Wote tunapenda hadithi za kusisimua. Kuanzia hadithi za mapenzi, za kutisha na za kuelimisha, Tigo Hadithi ina stori kwa kila mtu. 

Unaweza kujiunga na Hadithi na ukapata tukio jipya kila siku au waweza nunua hadithi nzima nakusikiliza matukio tofauti kwa wakati wako. 

Gharama zinazojumuisha VAT – Tigo Hadithi

Tukio moja la dakika 15 = TZS 150.

Hadithi moja = TZS 1,200 kwa Tigo Pesa au TZS 1,300 kwa salio la kawaida.

Peruzi, nunua, na pata hadithi nzuri leo.

Piga 0 901 656 564 na ufuate maelekezo ya jinsi ya kununua.

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo