Pata App ya Tigo Pesa | Tigo Tanzania

 Pata App ya Tigo Pesa

App ya Tigo Pesa inafanya muamala wa simu wa pesa uwe wa haraka na rahisi zaidi. Kama hujapakua App hiyo bado basi hujui unachokosa! Angalia salio, tuma pesa, jaza salio kwenye simu yako, lipa bili, tuma pesa kwenye akaunti yako ya benki, toa pesa na vingine zaidi

Pakua na Sajili App ya Tigo Pesa kwa Hatua 5 Rahisi  

1.       Pakua App kwenye duka la App kama ilivyoonyeshwa chini

2.       Fuata maelekezo ya kusajili simu yako

3.       Kama simu yako haijaonyesha namba ya siri ya kuhakikisha simu hiyo, angalia ujumbe wako wa SMS na uchukue namba hiyo ya siri uliyotumiwa

4.       Ingiza namba yako ya siri ya Tigo Pesa

5.       Kubali masharti na vigezo, bonyeza 'kubali' kumaliza usajili

KUMBUKA:  Hakikisha laini ya Tigo unayosajili nayo kwenye app ya Tigo Pesa ipo ndani ya simu wakati ya usajili, na Wi-Fi imezimwa.

Pakua App ya Tigo Pesa Sasa! 

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo