Stream Video | Tigo Tanzania

youtube Stream Video

Usiku bado ni wako: 

Furahia kuangalia video za Youtube bila kikomo – usiku kucha, kila usiku – kwa malipo ya intaneti ya chini kutoka Tigo. Tazama video zako za muziki uzipendazo, trailer za muvi, sehemu za video na kila kitu kingine ambacho Youtube kitakupa usiku mzima.

Maelezo kuhusu Ofa:

  • Kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 asubuhi
  • Ofa ni kwa wateja wa Tigo wa malipo ya kabla tu
  • Kujiunga piga *148*00# na chagua 5. Intaneti
  • Vifurushi vipo vya GB 5 kwa TZS 200/- kwa usiku mmoja na GB 35 kwa 500/- kwa wiki
  • Hakuna malipo kutoka salio lako la intaneti

Ninahitaji nini kufurahia hii ofa?

Unahitaji kua mteja wa tigo wa malipo ya kabla mwenye simu inayoshika intaneti pamoja na kifurushi cha intaneti.

Kama sio mteja wa Tigo utahitaji kununua laini ya Tigo leo kufurahia hii ofa.

Naweza kufurahia hii ofa mchana?

Hii ofa ni kati ya saa sita usiku na saa kumi na mbili asubuhi tu, ukitazama video nje ya mida hii utakatwa kiwango cha intaneti ya kawaida.

Furahia kuangalia video bila intaneti

Pamoja na ofa hii ya kuperuzi Youtube bila kikomo, YouTube ina kipengele cha kuhifadhi video kwenye simu yako mpaka masaa 48 na kuziangalia wakati wowote ata kama mtandao wa intaneti haupatikani. Bofya alama ya kuangalia video bila intaneti katika video unayoiangalia. 

Tigo inafurahia kujumuisha mhusika wa tatu wanaotumia huduma za video kwenye ofa hii, kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo