Tigo Beatz | Tigo Tanzania

 Tigo Beatz

Jiachie na Tigo Mdundo! Binafsisha mlio wakupigiwa simu kila ukipigiwa. Msikilizishe aliyekupigia simu nyimbo kali badala ya mlio wa kawaida usio na mvuto. Chagua kati ya zaidi ya milio mia ndani ya Tigo Beatz.

Njia ya kupata Tigo Beatz; 

1.       IVR – kwa kupiga 15050 au 15007 na kusikiliza kununua na kupanga nyimbo zako.

2.       Tuma herufi kwenda 15050, Mfano Tuma: CW kwenda 15050

Gharama zinazojumuisha na VAT – Tigo Beatz

1.       Hamna gharama za siku za Tigo Beatz.

2.       Kupiga simu kwa IVR kupitia 15050 au 15007 ni Tshs 50 kwa muda wa dakika 5.

3.       Gharama ya mlio ni Tshs 150 kwa wiki kwa nyimbo zote ulizonazo kwa wiki.

Kujiondoa kwenye Tigo Beatz

1.       Tuma SMS yenye neno “ONDOA” au “STOP” kwenda 15007 au 15050, au

2.       Piga 15007 au 15050 ufuate maelekezo ya kujiondoa.

 

Tigo Beatz - Top 10


1

Msanii: Mo Music

Nyimbo: AdoAdo

Mahadhi: Bongo Flava

Kificho cha Nyimbo: JM

2

Msanii: Barnaba

Nyimbo: Lover Boy

Mahadhi: Bongo Flava

Kificho cha Nyimbo: NN

3

Msanii: Christian Bella

Nyimbo: Nishike

Mahadhi: Afro Pop

Kificho cha Nyimbo: CN

4

Msanii: Chemical feat Centano

Nyimbo: I Am Sorry Mama

Mahadhi: Bongo Flava

Kificho cha Nyimbo: ZP

5

Msanii: Nandy

Nyimbo: Nagusa Gusa

Mahadhi: Bongo Flava

Kificho cha Nyimbo: NS

6

Msanii: Nikki wa Pili feat Chin Bees

Nyimbo: Sweet Mangi

Mahadhi: Bongo Flava

Kificho cha Nyimbo: NL

7

Msanii: Dayna feat Bil Nas

Nyimbo: Komela

Mahadhi: Bongo Flava

Kificho cha Nyimbo: HN

8

Msanii: Joh Makini feat Chidnma

Nyimbo: Perfect Combo

Mahadhi: Bongo Flava

Kificho cha Nyimbo: KL

9

Msanii: Maua Sama

Nyimbo: Sisikii

Mahadhi: Afro Pop

Kificho cha Nyimbo: XT

10

Msanii: Nandy

Nyimbo: Nalivua Pendo

Mahadhi: Afro Pop

Kificho cha Nyimbo: WR

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo