Ufumbuzi wa Sauti
Boresha mawasiliano ya kampuni yako wakati unapunguza gharama zake
Jua Zaidi
Ufumbuzi wa kuunganishwa
Biashara yako lazima iwe imeunganishwa muda wote na ulimwengu wa kibiashara
Jua Zaidi
Ufumbuzi wa Data
Hifadhi nyaraka za kibiashara katika ulinzi bora na uifikie ukiwa popote popote na muda wowote
Jua Zaidi
Ufumbuzi wa hali ya juu
Boresha ufanisi wa biashara yako kwa kutumia huduma mahususi kwa biashara yako
Jua Zaidi

Unlimited Business Day
Tigo Business provides just that with a very competitive package offering more value than any of our competitors. With this solution, you can make unlimited calls during business hours so you are always connected and can focus on what is important – your business. Jua Zaidi

Huduma ya SMS
Nyenzo rahisi na haraka inayokupa uwezo wa kuwajulisha wateja wako kuhusu matangazo yako ya kibiashara, bila kujalisha wapo mtandao upi. Tuma ujumbe, bili na taarifa yoyote kupitia tovuti maalum Jua Zaidi

Intanet Binafsi
Ufumbuzi wa kuunganishwa wa Tigo Business unafanya biashara yako iunganishwe na dunia kwa intanet binafsi. Teknologia katika Tigo Business inahakikisha ufanisi na muendelezo wa kibiashara yako wakati wote na mahali popote kupitia njia salama na yenye uhakika kutoka kutoka na mtandao mkubwa na thabiti wa Tigo Tanzania Jua Zaidi
