Tigo Xtreme - Tigo kwenda Tigo | Tigo Tanzania


Tigo Xtreme - Tigo kwenda Tigo


Tigo Xtreme - Tigo kwenda Tigo

Je ndugu zako na marafiki zako wengi wanatumia mtandao wa Tigo? Basi okoa pesa yako na vifurushi vyetu vya Xtreme Tigo kwenda Tigo vilivyoorodheshwa chini. Vifurushi vyote vya Xtreme vina intaneti ya 3G na 4G kwa bei poa. Unachohitaji ili kuanza kutumia intaneti ya kasi ya 4G ni laini ya 4G ya Tigo pamoja na kifaa chenye uwezo wa 4G. Jifunze jinsi ya kuanza kutumia mtandao wa Tigo 4G.

Kama unatumia muda mwingi kuongea na watu walioko nje ya mtandao wa Tigo, kifurushi cha Minikabang kitakufaa zaidi.

Vifurushi vya Siku

Bei DAKIKA SMS INTANETI (3G/4G) MUDA WA KUDUMU KITENDO
TZS 500 17 40 MB 1 MASAA 24  Nunua
TZS 650 30 100 MB 3 MASAA 24  Nunua
TZS 1000 55 BILA KIKOMO MB 8 MASAA 24  Nunua


Vifurushi vya Wiki 

Bei Dakika SMS Intaneti (3G/4G) Muda wa Kudumu KITENDO
TZS 1,999 60 200 MB 10 SIKU 7  Nunua
TZS 3,999 130 500 MB 30 SIKU 7  Nunua
TZS 9,999 360 1,000 MB 50 SIKU 7  Nunua

 

Vifurushi vya Mwezi Pima Utumiaji wa Intaneti

Bei Dakika SMS Intaneti (3G/4G) Muda wa Kudumu
TZS 9,999 300 1,000 MB 50 SIKU 30
TZS 19,999 750 2,000 MB 200 SIKU 30
TZS 29,999 1300 3,000 MB 250 SIKU 30

 

Bei zinajumuisha kodi ya ongezeko la thamani.

 

Nunua kupitia salio

Piga *148*00#

Nunua kupitia tigo pesa

Piga *150*01#

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo