Vifurushi vya Intaneti vya Malipo ya Baada | Tigo Tanzania


Vifurushi vya Intaneti vya Malipo ya Baada


Vifurushi vya Intaneti vya Malipo ya Baada

Vifurushi vya Tigo vya intaneti vya malipo ya baada vinajumuisha intaneti ya 3G na 4G kwa bei ile ile moja. Vifurushi vya intaneti vya malipo ya baada vinapatikana kwa mtu binafsi pamoja NA makampuni. Unachohitaji ili kutumia intaneti ya kasi na kubwa kuliko zote Tanzania ni modemu ya 4G au simu yenye uwezo wa 4G. Maisha ni bora zaidi na 4G.

Vifurushi vya Intaneti ya 3G/4G ya Postpaid Pima Utumiaji wa Intaneti

Bei Intaneti (3G/4G) Muda wa Kuduma Kujirudia
TZS 2,000 MB 100 SIKU 31  NDIO
TZS 6,000 MB 500 SIKU 31 NDIO
TZS 10,000 GB 1 SIKU 31 NDIO
TZS 15,000 GB 2 SIKU 31 NDIO
TZS 20,000 GB 3 SIKU 31 NDIO
TZS 25,000 GB 5 SIKU31 NDIO
TZS 30,000 GB 10 SIKU 31 NDIO
TZS 35,000 GB 15 SIKU 31 NDIO
TZS 50,000 GB 20 SIKU 31 NDIO
TZS 100,000 GB 50 SIKU 31 NDIO
TZS 150,000 GB 75 SIKU 31 NDIO
TZS 230,000 GB 100 SIKU 31 NDIO

 

Bei zinajumuisha bei la ongezeko la thamani. 

Wasiliana na Tigo kuunganisha na akaunti ya malipo ya baada

Sehemu zenye alama * lazima zijazwe

Kama unawakilisha kampuni

Maswali ya Mara kwa Mara kuhusu akaunti za malipo ya baada

Maswali ya Mara kwa Mara kuhusu akaunti za malipo ya baada Soma Maswali ya Mara kwa Mara

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo