Viwango vya Tigo Pesa | Tigo Tanzania

Viwango vya kutuma na kupokea pesa kwa wateja wa Tigo Pesa kuanzia August 2016

 Kiwango (TZS)

Ada ya Mteja (TZS)

Kuanzia Mwisho Kutuma Pesa kwenda Tigo Pesa/Mitandao washirika Kutoa Pesa
100 999 10 N/A
1,000 1,999 20 350
2,000 2,999 35 350
3,000 3,999 50 600
4,000 4,999 65 600
5,000 9,999 120 800
10,000 19,999 300 1,300
20,000 39,999 350 1,650
40,000 49,999 400 2,250
50,000 99,999 700 2,600
100,000 199,999 900 3,500
200,000 299,999 1,000 5,000
300,000 399,999 1,500 6,000
400,000 499,999 1,500 6,500
500,000 599,999 2,200 7,000
600,000 799,999 3,200 7,500
800,000 1,000,000 3,200 8,000
1,000,001 3,000,000 5,000 8,000

 

Viwango vya kutuma na kupokea pesa kwa wateja wasio wa Tigo Pesa 

Tukio Kuanzia (TZS) Mwisho (TZS)  Ada
Kuweka Pesa 1,000 3,000,000 BURE
Kutuma Pesa kwa Mteja ambaye hana akaunti ya Tigo Pesa au ya akaunti ya mtandao washirika 1,000 1,000,000 Ada ya Kutuma + Ada ya Kutoa
Kutuma Pesa kwa Mteja ambaye hana akaunti ya Tigo Pesa au ya akaunti ya mtandao washirika 1,000 1,000,000 BURE

 

 Viwango kwa huduma zingine kwa wateja wa Tigo Pesa

Tukio Ada (TZS)
Kubadilisha Namba ya Siri BURE
Kuangalia Salio 50
Taarifa Ndogo 50
Kiwango cha Juu cha Kuhifadhi Pesa 5,000,000
Payment with Tigo Pesa Kulingana na Kiwango
Taarifa ya Mwezi huu 500
Taarifa ya Mwezi wa jana 500
Taarifa ya Mwezi 3 1,000
Taarifa ya Mwezi 6 1,500

 

Viwango vya Kutuma Pesa kutoka Tigo Pesa kwenda Benki

Kiwango (TZS) Ada kwa Mteja (TZS)
Kuanzia Mwisho  
1,000 9,999 400
10,000 49,999 1,000
50,000 99,999 2,000
100,000 299,999 3,000
300,000 499,999 4,000
500,000 799,999 4,500
800,000 999,999 5,000
1,000,000 3,000,000 6,000

 

Ada zimejumuisha asilimia 18 ya VAT na asilimia 10 ya ushuru ya bidhaa.

Wateja wenye akaunti zisizotumika kwa zaidi ya siku 180 watatozwa TZS 300 kila mwezi ya kutunza akaunti yao.

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo